Shirika la Habari la Hawza, linachapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu cha “Al-Kafi”:
Imam Jaafar Swa'diq (as) amesema:
«إِنَّ اللّهَ عَزَّ وَجَلَّ إِذَا أَحَبَّ عَبْدًا فَعَمِلَ عَمَلًا قَلِيلًا جَزَاهُ بِالْقَلِيلِ الْكَثِيرَ، وَلَمْ يَتَعَاظَمْهُ أَنْ يَجْزِيَ بِالْقَلِيلِ الْكَثِيرَ لَهُ.»
“Hakika Mwenyezi Mungu, Mtukufu na Mwenye Nguvu, anapompenda mja Wake, kisha mja huyo akafanya amali ndogo, humlipa kwa amali hiyo ndogo malipo mengi; wala si jambo kubwa au zito Kwake kutoa malipo mengi kwa mja Wake kwa sababu ya amali ndogo aliyoifanya.”
Al-Kafi, Juzuu ya 2, uk. 86.
Maoni yako